Utengenezaji wa Nyimbo
Tunarekodi nyimbo za ubora wa hali ya juu kwa wasanii wa kila aina.
Wasiliana
Video Shooting & Editing
Tunapiga na kuhariri video za muziki, matangazo na hafla.
Wasiliana
Branding ya Biashara
Kuanzia nembo (logo), mabango, hadi promo ya biashara na waimbaji.
Wasiliana
Fungua Account za YouTube
Tunakusaidia kufungua na kuboresha akaunti ya YouTube kwa channel yako.
Wasiliana
Huduma za Kimtandao
Uuzaji wa router, pocket Wi-Fi, na ushauri wa intaneti.
Wasiliana
Kuhakiki na Kusafirisha Mizigo
Tunakusaidia kununua bidhaa unayotaka tunahakiki na kukusafirishia popote ulipo.
Wasiliana