MJ Sound & Network Services ni kampuni inayotoa huduma bora za vifaa vya muziki, vifaa vya simu, teknolojia ya kompyuta, pamoja na huduma za kimtandao, branding, utengenezaji wa nyimbo, video na matangazo ya biashara. Tunajivunia kutoa huduma za kitaalamu kwa wateja wetu kwa ubunifu wa hali ya juu.
Tunauza na kufunga vifaa vyote vya muziki kuanzia spika, MIDI, microphones hadi mixers.
Tunaunganisha mtandao nyumbani na ofisini, kwa kasi na usalama wa hali ya juu.
Ubunifu wa matangazo, kutengeneza logos, na kufanyia maboresho vifaa vya kiteknolojia.